DOL ANGEL, AKIWATEGA MASHABIKI WAKE WA KIUME, WATATEGEKA?!!!
Sawa... Ni nini hasa anachojaribu kutuonyesha hapa... Je anacho hasa ama...?
Ni muigizaji maarufu wa filamu za Nollywood aitwaye Angel Gift akijaribu kuwalaghai mashabiki wake wa kiume akiwa kwenye picha hii ya kitandani.
Lazima utii bwana we! Dada kaumbika kweli
ReplyDelete